Changanua msimbo wa QR kwa kutumia kamera ya simu yako
700
Miji zaidi ya
46
Nchi
170
Watumiaji milioni
2
Safari zaidi ya bilioni
Ukiwa na inDrive una uhuru wa...
Kupatana bei ya nauli
Uko huru kupendekeza bei ya nauli kwa kila safari. Bei hazibadiliki kutokana na foleni au hali za barabarani wala bajeti yako ndogo ama uwezo wa kulipa nauli kubwa, wewe ndiye mpangaji wa kiasi utakacholipa
Kuchagua wa kukuendesha
Uko huru kumchagua dereva wako. Utaona ukadiriaji wa huduma na historia ya safari zao kabla ya kuchagua
Kujisikia salama
Uko huru kuchagua usafiri kulingana na ukadiriaji wa dereva, aina ya gari na muda wa dereva kuwasili